Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana 🤦🏽♀️😔.
Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani kwenu?
=====
Mwili wa marehemu ambaye haujatambulika umekutwa katika shimo la choo ndani ya nyumba iliyopo maeneo ya Ubaya-ubaya, Mtaa wa Blue Sky - Tabata, Dar es Salaam.
Kwa muujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, Peter Joackim, nyumba hiyo iliyokuwa ya wapangaji kwa sasa haina mpangaji hata mmoja na hakuna taarifa kuhusu walipo wapangaji husika.
Pia soma: Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo