Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana π€¦π½ββοΈπ.
Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani kwenu?
=====
Your browser is not able to display this video.
Mwili wa marehemu ambaye haujatambulika umekutwa katika shimo la choo ndani ya nyumba iliyopo maeneo ya Ubaya-ubaya, Mtaa wa Blue Sky - Tabata, Dar es Salaam.
Kwa muujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, Peter Joackim, nyumba hiyo iliyokuwa ya wapangaji kwa sasa haina mpangaji hata mmoja na hakuna taarifa kuhusu walipo wapangaji husika.
Tofauti ya mwanadamu na mnyama ni kwamba kuna muda mwanadamu anakua mnyama zaidi ya mnyama mwenyewe. Ndio madhara ya Adam kula tunda la kujua mema na mabaya
Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana π€¦π½ββοΈπ.
Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani kwenu?
Mwili wa marehemu ambaye haujatambulika umekutwa katika shimo la choo ndani ya nyumba iliyopo maeneo ya Ubaya-ubaya, Mtaa wa Blue Sky - Tabata, Dar es Salaam.
Kwa muujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, Peter Joackim, nyumba hiyo iliyokuwa ya wapangaji kwa sasa haina mpangaji hata mmoja na hakuna taarifa kuhusu walipo wapangaji husika.
Mfanyakazi wa ndani kwa waarabu hugeuzwa punda, waarabu wote wa nyumba husika humfanyisha kazi hata za jirani zao, akigoma ujue ataishia shimo la choo.