Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, Wakurya > kitunda, wahaya > sinza, wapemba > ilala na kigamboni, wapi tumepaacha ?

Wanyaturu wenzangu wako wapi

Na je wamwera wakwe zangu wanapatikana wapi
Msaada tafadhali.
 
Chanika na Machinga!!!

Ujenzi wa kule umesadifu maana ya Chinga na Wamachinga wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…