Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia huwa wanachanganya mavi ya mbwa na sukari guruKuna kitu umekula... Kama sio mbolea ya paka hiyo
😂😂 Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia huwa wanachanganya mavi ya mbwa na sukari guru
Dah ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu umekula... Kama sio mbolea ya paka hiyo
Hahaha,hiyo ni asali ya nyuki wadogo wasiouma.hyo ndo super Sasa na bei yake ikojuuNimeagiza asali jion nikamwambia mamy ikifika aipokee... Muda si mrefu nimeionja nimekuta ina radha chungu, af nyeusiiii.... Asee huu ni uchakachwaji na si uchakachuaji huu, lohh!!!
Yeah ikiionja inasukari Sana mwanzoni but mwishoni ni chunguHahaha,hiyo ni asali ya nyuki wadogo wasiouma.hyo ndo super Sasa na bei yake ikojuu