DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Uzi wa kipuuzi kabisa ule... wakati magorofa yanaota kila kukicha....yule jamaa itakuwa hakuwa na capital ama anafanya kazi yenye mshahara kiduchuKuna mtu alileta uzi humu kwamba dar inawapotezea watu muda..nautafuta siuoni!!
Ha ha haUzi wa kipuuzi kabisa... wakati magorofa yanaota kila kukicha
Madam nitakutembelea PM kuna Neno nataka Nikunong'oneze..,Siti ya mwanzo.
Ila kiukweli ukishindwa kuishi ndani ya jiji la Dar, basi hata Chatt huwezi ishi
dar bna kwa papuchi tu very simple..na watoto wazuri...nipo geita huku...daaaah,sijagonga mieziKweli aisee hata papuchi ni rahisi mnoo na watoto Wake bwana wana hadhi ya IKULU
Njoo ila ujue pm yangu nasoma na mpenzi Mung ChrisMadam nitakutembelea PM kuna Neno nataka Nikunong'oneze..,