Kuna mwaka fulani nilipanga chumba Mbagala.Hata ukiwa na mshahara mdogo dar unaishi
...Dar kuishi ni kwa ku2mia akili tu
Asubuhi:Mihogo ya 500 na maji ya kandoro au ya bombs 50
Mchana:unaenda maeneo ya karibu na chuo wali wa buku shazii au kutokana na jinsi ulivyoshiba asubh kwa ile mihogo ya 500 iliyoliwa Saa 5 unaweza ukapiga pass ndefu
Jioni:unaweza piga chapati au ugali na dagaa maximum 1000 au 1500 au ukala vichwa vya kuku na miguu yake ..... usiku mwema kimya unapita nao!yani kwa Siku unaweza tumia 2500 tu.....I Love Dar na nimepamiss naamn nitarudi tu....
Ha aha a.., yani ukiona hadi nmeamua kujiripua hivi, tena nmejiripua kwenye Mitambo ya Songas ujue uvumilivu umenishinda!!!Njoo ila ujue pm yangu nasoma na mpenzi Mung Chris
[emoji23][emoji23][emoji23]dar wakumwaga mkuu Tena wamekoga hao wanang'aaadar bna kwa papuchi tu very simple..na watoto wazuri...nipo geita huku...daaaah,sijagonga miezi
[emoji849][emoji3571]Njoo ila ujue pm yangu nasoma na mpenzi Mung Chris
Hahahaaha dah!umenifurahisha sana...na hapo ukifika mbagala zakhiem au temeke stereo matunda kibao ya kujipa afya ukifika kigamboni samaki wa kusaza......Wanaosemaga Dar ni pagumu huwa nawaona ni waoga wa maisha...na hawaujui ule msemo wa kuwa popote penye changamoto ndo akili inakua..Kuna mwaka fulani nilipanga chumba Mbagala.
Aisee....kweli Dar ni kitonga.
Asubuhi napiga zangu skonzi 3 sh 300 na chai sh 100
Mchana napiga ugali 500 na utumbo wa kuku wa 300 na maji ya kunywa glasi 100
Usiku naenda pale stand Rangi tatu napiga wali harage na samaki kwa 1500 na maji ya uhai ya 500
Nikifika kitandani napiga hesabu jumla nimetumia sh 3300/=
Asubuhi Aluta Continua.
Siku nikipewa ofa naagiza kuku nusu, nusu nakula, nusu nafunga....naenda kuunga mchuzi nyumbani wa mchana na usiku.
Afu ndo mtu ananiambia nihame Dar.
Tutabanana hapahapa.
We ukila kuku nusu...nami nikila miguu na vichwa, wote tumemla kuku.
Ladha ileile.
Hahahaa nishawah kukuona kimbokaKweli aisee hata papuchi ni rahisi mnoo na watoto Wake bwana wana hadhi ya IKULU
Dar inawapotezea watu muda - JamiiForumsKuna mtu alileta uzi humu kwamba dar inawapotezea watu muda..nautafuta siuoni!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] aisee uko makini saana Mkuu ,nipo mitaa ya buza hapa na mtoto anataka ticket tu ya kuingia game LA Yanga na Mwadui na pesa ya popcorn tuHahahaa nishawah kukuona kimboka
Niko bombom hapa juu mlete[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] aisee uko makini saana Mkuu ,nipo mitaa ya buza hapa na mtoto anataka ticket tu ya kuingia game LA Yanga na Mwadui na pesa ya popcorn tu
Karibu sana.Ha aha a.., yani ukiona hadi nmeamua kujiripua hivi, tena nmejiripua kwenye Mitambo ya Songas ujue uvumilivu umenishinda!!!
Umeona eeee.Hahahaaha dah!umenifurahisha sana...na hapo ukifika mbagala zakhiem au temeke stereo matunda kibao ya kujipa afya ukifika kigamboni samaki wa kusaza......Wanaosemaga Dar ni pagumu huwa nawaona ni waoga wa maisha...na hawaujui ule msemo wa kuwa popote penye changamoto ndo akili inakua..
Asante mkuu....
Madam B ujasiri kama wakwako wanao wasichana wachache sana.Njoo ila ujue pm yangu nasoma na mpenzi Mung Chris
Nimeuona instaKuna mtu alileta uzi humu kwamba dar inawapotezea watu muda..nautafuta siuoni!!