Dar: NEMC na Chuo cha Polisi kushirikiana kuyalinda na kuyatunza mazingira

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) limekutana na Chuo cha Polisi Kurasini kujadiliana kuhusu elimu ya masuala ya Mazingira kwa wanafunzi wao na namna ya kushirikiana nao katika utekelezaji wa majukumu baina ya taasisi hizi (NEMC na Chuo cha Polisi) ili kuendelea kuyalinda na kuyatunza mazingira kwa ustawi wa Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…