Dar nzima inabidi tununue mchanga wa jangwani?

Dar nzima inabidi tununue mchanga wa jangwani?

Akotia

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
528
Reaction score
1,241
tuna mchanga umekaa tu jangwani,kwanini wanaohusika wasiuze kwa wajengaji na wanunuaji.

Mchanga mzuri na utaingiza pesa,pamoja kuufanya mto wetu pendwa wa Msimbazi uwe na kina kirefu wakati huu tunasubiria Daraja lijengwe.
 
Deal za watu hizo, ukiona kobe juu ya mti ujuwe kapandishwa huyo.
Sasa kama dili si wauze wapate pesa,i dont care pesa zitaenda wapi,sisi wajengaji utaturahisishia sana. Unapatikana kirahisi na karibu pia upo wa kutosha pamoja na kusave mazingira. Ni win,win and win.
 
Kupungua Kwa mafuriko na pia kuboresha mandhari ya mto wetu pendwa wa Msimbazi. Hii ni kituitasaidia sana.
 
Ni kweli umeongea kitu ambacho kimeshafanyiwa kazi.
zamani kidogo ilikuwa ni marufuku kuchimba mchanga maeneo hayo ila kwa sasa hiyo marufuku haipo tena .
Asilimia kubwa ya majengo yanayojengwa kkoo wanatumia mchanga huo
 
Back
Top Bottom