Sasa kama dili si wauze wapate pesa,i dont care pesa zitaenda wapi,sisi wajengaji utaturahisishia sana. Unapatikana kirahisi na karibu pia upo wa kutosha pamoja na kusave mazingira. Ni win,win and win.Deal za watu hizo, ukiona kobe juu ya mti ujuwe kapandishwa huyo.