Dar port overtaking Mombasa at the supersonic speed

RANSIT OIL CARGO AT DAR PORT GROWS BY 50 PER CENT(Petroleum Bulk Procurement Agency-PBPA Data).-

The Guardian Tuesday, May 15-21, 2018. "The Dar es Salaam Port is increasingly becoming the traders choice." View attachment 778215
Hawa jamaa tuna wamaliza mda sio mrefu. Kuna mambo mengi mazuri yatatokea mda sio mrefu.
 
unajua mtu mpumbavu ni mpumbavu tu! Dar port is still in diapers aisee. alafu 50% of 1 bado ni growth! tafakari.
Baada ya kujua wewe ni poor and fool nakupuuzia kila comment zako.
 
Baada ya kujua wewe ni poor and fool nakupuuzia kila comment zako.
sioni kama nime-kuquote kwahivyo wacha kuniandama, 'poor and fool' sijui ni dude gani lakini nitakuelewa tu kwa kuwa hata avatar yako inajieleza. tombwaa ulale sasa na uwache kuniquote mimi sio size yako.
 
unajua mtu mpumbavu ni mpumbavu tu! Dar port is still in diapers aisee. alafu 50% of 1 bado ni growth! tafakari.
Usiongee kama umetoka kufuta kinyesi cha muarabu. Leta evidence hatu taki maneno matupu humuπŸ˜€πŸ˜€ Tupatie Oil Cargo ya kwenu
 
Wewe unatuletea story ambayo ilisha funguliwa humu threadπŸ˜€πŸ˜€ Kwa taarifa yako hiyo information mlipoitoa humu imeanza kufanyiwa kazi. Kwa sasa kuna Plan B yakuweka Scanners kwenye mipaka yote ya Tanzania. Kilochogunduliwa nikuwa mizigo kwenye scanners za Mombasa haipiti. Wanaonga 50,000/= Kenya shilling na kupewa documents zakukaguliwa mizigo kwa scanner
Hiyo inafanyika haswa na wasafirishaji wa matairi,electronics na bidhaa nyingine ambazo utumika kuficha bidhaa nyingine ndaniπŸ˜€πŸ˜€ Kihama kina kuja. TRA taarifa zimesha wafikia zamani. Usicheze na nguvu ya JFπŸ˜€πŸ˜€
 
TE="mulisaaa, post: 27136429, member: 439084"]Usiongee kama umetoka kufuta kinyesi cha muarabu. Leta evidence hatu taki maneno matupu humuπŸ˜€πŸ˜€ Tupatie Oil Cargo ya kwenu[/QUOTE]
only a fool like you would want to compare the capacity of mombasa port with that of dar port. wether bulk or containerized cargo mombasa ndio baba yao this sides of the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…