Dar, Posta mvua yaleta foleni

Dar, Posta mvua yaleta foleni

Mwenge
 
Attachments

  • 20240422_163028.jpg
    20240422_163028.jpg
    1.3 MB · Views: 4
Nyie nanyi kila siku mnalia lia kila Mvua inaponyesha,paeni angani si mpo mjini daslamu 😛
 
Kuna watu mpaka watakufa sizani kama walifurahia maisha

Mojawapo ni watu wa Daslam

Ikinyesha tabu, jua likiwaka tabu, mnawahi kuamka na mnachelewa kulala

Watoto mmewapeleka babycare wakalelewe hamna muda wa "kuishi"

Mna maisha ya hovyo wa sana

Mmejawa malalamiko yasiyokwisha.

Sio mbaya mtapumzika hizo shida mkifa.
 
Acha wanyooke
 
Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji.
Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
Tuonyeshe hiyo mvua basi
 
Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji.
Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
Si mlisjasmbiwa mhamie Dodoma? Dar mmebaki mnafanya nini?
 
Back
Top Bottom