BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji.
Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
Naona mwenge imekuwa mtoMwenge
Sijui kwa kweliBado hamjasema...
Hivi Tarura wanajenga ama wanatengeneza barabara?
Acha wanyookeKuna watu mpaka watakufa sizani kama walifurahia maisha
Mojawapo ni watu wa Daslam
Ikinyesha tabu, jua likiwaka tabu, mnawahi kuamka na mnachelewa kulala
Watoto mmewapeleka babycare wakalelewe hamna muda wa "kuishi"
Mna maisha ya hovyo wa sana
Mmejawa malalamiko yasiyokwisha.
Sio mbaya mtapumzika hizo shida mkifa.
Tuonyeshe hiyo mvua basiWana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji.
Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
Si mlisjasmbiwa mhamie Dodoma? Dar mmebaki mnafanya nini?Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji.
Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.