well done Dr.SAMIA SULUHU HASSANRais Samia akihitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, tarehe 09 Mei, 2026
View: https://www.youtube.com/live/-LKQVXj5BDs?si=PECkaWHZ0XKmTz6R
Video Courtesy: State house
Yupo Jela Ukonga ila Chuo cha Magareza Ukonga hakiko ndani ya Jela ndiyo maana hajaonana na Mahabusu yoyote. Kwa mujibu wa wajerumani Gerezani ni Rahisi kumtoa mfungwa na kwenda naye kokote kuliko mahabusu! Wafungwa wa Maisha, Condemn na Mahabusu wanatolewa kama kuna summons ya Mahakama au kwenda hospitali.Tundu Lissu yupo mahabusu katika Gereza lipi?
HilohiloTundu Lissu yupo mahabusu katika Gereza lipi?