Dar: Rais Samia Suluhu ahudhuria mechi ya Simba na Yanga

Dar: Rais Samia Suluhu ahudhuria mechi ya Simba na Yanga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia Suluhu amehudhuria mchezo wa Watani wa Jadi kati ya #Simba SC na #Yanga SC unaochezwa Uwanja wa Taifa

Iwapo Simba itaondoka na alama 3 itakuwa imetawazwa Bingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo
1625322000531.png


20210703_200136.jpg


20210703_200139.jpg


20210703_200147.jpg


20210703_200321.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Wallace Karia, alipowasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo tarehe 03 Julai, 2021 kwa ajili kuangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga.
 
Dah ila mama anapata shida kukaa sw watu wa mbele wanataka afuate masharti ya corona kuzuia mikusanyiko ya watu wengi ni hatari.

Bongo watu wanataka wajiachie kwahiyo hakuna cha kuogopa matamasha na mipira kama kawa

WHO wanatamani michezo bila mashabiki kisa Kenya na Uganda wanateseka cha kushangaza bongo hadi Rais ndani ya uwanja.
 
Ile ripoti kasemaje au kaipotezea haina shida??. Akitoka huko aongee na Taifa japo kidogo tu
 
Na wewe tembeza yako. Nchi huru hii tena ina amani
Rais na mimi ni vitu viwili tofauti.Mimi nipo kupigania maslahi yangu ila Rais yupo kupigania maslahi ya Taifa.Rais kuzurura inaathiri Taifa ila mimi kuzurura haiathiri Taifa.Unahitaji PhD kujua vitu vidogo kama hivi au ni kwamba umbumbu ni kipaji chako?
 
Back
Top Bottom