Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
ChatoSawa, what next?
Kwenye 120?Chato
Hana UNAFIKI/UPUUZI huo!Amevaa ile jezi ya mwendazake, Nusu Simba nusu yanga🤔🤔
Mkuu, jaribu kuwa na adabu japo kidogo!Hivi kwa nini nchi za Afrika ni lazima Rais awe takataka?Imagine nchi haina hata teknolojia ya kutengeneza chupi ila Rais kutwa kuzurura na kuzungusha matako kila mahali!
Rais na mimi ni vitu viwili tofauti.Mimi nipo kupigania maslahi yangu ila Rais yupo kupigania maslahi ya Taifa.Rais kuzurura inaathiri Taifa ila mimi kuzurura haiathiri Taifa.Unahitaji PhD kujua vitu vidogo kama hivi au ni kwamba umbumbu ni kipaji chako?Na wewe tembeza yako. Nchi huru hii tena ina amani