Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni.

Nitawapa updates soon

Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.
 
Rebeca kusamehe mimi nisingeweza, sio kwa hizo video clip walizotuma kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize wamemdhalilisha na kumpoteza kwenye sanaa safari hii.

Video haziwezi kufutika mkuu,damage is done, i agree with you though walichofanya gang la wasafi sio vizuri,is high time wamlipe Kondeboy kwa damage waliyofanya,
 
Tuangaliege na wanawake wa kuzaa nao.Hii vita anaumia zaidi ni Paula,japo mwenyewe na mama yake hawajui.

Halafu Majani mwenyewe hana time ndio kwanza leo anaitangaza project mpya ya Raptcha.
Screenshot_20210415-161158.png


Sasa Harmo anaenda mahakamani,kama Ray akisema kazipata kwa Paula,halafu Paula wakambana akazionyesha na yeye si anakuwa na kesi ile ile kama ya Rayvanny ya kusambaza picha za uchi wake.
 
Rebeca kusamehe mimi nisingeweza, sio kwa hizo video clip walizotuma kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize wamemdhalilisha na kumpoteza kwenye sanaa safari hii.

Kumpoteza hawawezi Ndo kwanza wanampaisha, wanampa attention sana , watanzania wanapenda kusikia Habari mbaya za was watu so ni kama wanampaisha tu
 
Kukimbilia polisi sio uanaume.. Ilibidi nae ajipange ajibu mapigo kimya kimya kama bluce lee.. Sasa anakimbilia polisi kutafuta huruma.. Kweri nimeamini konde boy ni mshamba wa chitohori mtwara vijijin... Tena mwari wa kimakonde kabisa.... Afu anaimba imba " huo ni ushamba huo ni" wakati yey ndio mshamba namba moja.
 
Back
Top Bottom