sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Ujinga unagharama but I AM NO ONE!Ujinga unagharama
Mmakonde ana roho mbaya sana ni vile wabongo hawamjui tu na mambo ya timu.Kondeboy samehe tu...yaishe...is getting ugly
We unadhani hapo atalipishwa shilingi ngapi?Ujinga unagharama
Rebeca kusamehe mimi nisingeweza, sio kwa hizo video clip walizotuma kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize wamemdhalilisha na kumpoteza kwenye sanaa safari hii.Kondeboy samehe tu...yaishe..this is getting ugly
Mmakonde ana roho mbaya sana ni vile wabongo hawamjui tu na mambo ya timu.
Kamtafuta ray siku nyingi akafikir ray ni yule yule mpole safari hii ray kaona anavuka mipaka kutaka afungwe kumchafua amebaka mwanafunziMnamchokoza wa nini kama mnajua weakness hio yake? 🙄 😳
Rebeca kusamehe mimi nisingeweza, sio kwa hizo video clip walizotuma kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize wamemdhalilisha na kumpoteza kwenye sanaa safari hii.
Kamtafuta ray siku nyingi akafikir ray ni yule yule mpole safari hii ray kaona anavuka mipaka kutaka afungwe kumchafua amebaka mwanafunzi
Rebeca kusamehe mimi nisingeweza, sio kwa hizo video clip walizotuma kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize wamemdhalilisha na kumpoteza kwenye sanaa safari hii.
kubwa mnooUjinga unagharama