Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

wasafi wanapenda sana mambo ya video za utupu, hawajaanza leo. kwa kifupi zaidi ya 70% ya watumia Instagram haya mambo wanapenda sana
 
Mbona akina AY, FA , J wa mitulinga, jide, Noorah, K lube, Bizman, hawakua hivi walivo akina harmo na babalevo japo na wao wanamafaili yao lakini hayakua ya kuua hadi muziki wenyewe?
 
Mimi sio mzee mwenzako unikome! Rayvanny alituma screenshot zenye maandishi tu na sehemu za picha alificha.
Huyu hamonaizi wako atasema video zake zimetoka wapi mtandaoni
ndio maana nasema uwezo wako ni kama kuku
kitendo cha kutuma sms za mtu mwengine bila ridhaa yake, ni kosa
sasa kwahiyo mahakamani utasema eti nilivujisha sms picha nikaficha?
unaulizwa kwanini umememuibia mtu hela unajibu nimeiba 'nilichukua 50 tu nyingine niliacha'
 
shangazi huwa unaua hapo hapo
unanikosha sanaaaaa
 
Hakufanya kwa bahati mbaya, alitaka ajue ili aumie. Ni kisasi sio suala la ustaarabu hapo.
 
Usimlaumu majani

Aliwahi Kiri kuwa Paula kashindikana unataka afanyaje

Kumbuka majani ana mabinti wengine wakubwa tu ushawahi sikia skendo zao[emoji15]
 
Subiria sense jela au alipishwe faini ndio utaelewa

Sijawahi mkubali harmonize Ila kwa hili Niko pamoja nae
 
Kojoa ukalale wewe.
 
Kojoa ukalale
 
Subiria sense jela au alipishwe faini ndio utaelewa

Sijawahi mkubali harmonize Ila kwa hili Niko pamoja nae
Umeishia la ngapi chief ? Nguo uvue mwenyewe , camera ya simu yako mwenyewe , ujirekodi video mwenyewe , utume mwenyewe , zisambae uanze kulaumu tena 😀 kaa mkao wa Kula to night inaachiwa nyingine tena
 
Mbona akina AY, FA , J wa mitulinga, jide, Noorah, K lube, Bizman, hawakua hivi walivo akina harmo na babalevo japo na wao wanamafaili yao lakini hayakua ya kuua hadi muziki wenyewe?
Enzi za ujana wao smartphone za kujirekod video zilikuwa bado, mitandao kama insta ilikuwa bado, kusambaa kwa habari mpaka gazeti la shigongo litoke ndipo ukasome matukio ya week. Siku hizi habari in real time na from the source.
Siku hizi camera ya simu inarekodi video HK kuliko licamera la adam juma visual lab enzi hizo.
Isingekuwa mashabiki wanafuatilia ujinga wao wangekuwa wameacha. Ila utashangaa media nyingi za entertainment zimereport haya kuliko hata kikao cha bashunga na waziri wa mawasiliano
 
Narudia kusema tena madam, mimi nipige picha na wakuu wa majeshi na mainspekta wakubwa halafu unichafue kwenye media?? Utasugua gaga segerea au ukikaza sana lazima mabilioni ya fidia yakutoke...subiri muone
Kila mmoja anatunisha misuri, wasafi wao raisi wa sasa ndiye alikuwa mgeni rasmi kwenye tuzo zao za wanawake mwezi uliopita 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…