Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,436
Reaction score
7,955

Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan.

Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za kitanzania milioni 200 ulikabidhiwa kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam zilizopo eneo la Ilala Boma jijini Dar Es Salaam.

Msaada huo aliopokea Mheshimiwa Chalamila ni pamoja na mafuta ya kupikia, sukari, unga wa ngano, mchele, na tende.


My Take:

Mwarabu hajawahi kumfamya mweusi kuwa mtu wa maana! ngoja tuone siku za usoni huko
 
Hakuna cha DP World huyo ni Rostam Azizi
 
Kama ni tende msitusahau nadi wa Mikoani .. Sunna hiyo!
 
Dp world ni genge la msoga gang hapo hamtoona uboreshaji wa bandari wala kuongezeka kwa mapato Niko hapa
 
DP world wanatoa pesa sema hakuna mtu atatoa kiwango kama hicho kirahisi ,hapo wanapiga pesa ndefu ila wanaendelea kuendeleza mahusiano ya kijamii.

Pale bandari kuna pesa acha tu.
Wamelambisha Raia kusanyo la masaa machache katia masaa 24.
 
Hivi huyu mwarabu anataka nini nchini mwetu! Asidhani mtanzania wa sasa ni yule wa zamani! Hawa jamaa ni wahuni na washenzi!
 
Ndio kwanza kumekucha!
 
Mwarabu na mwafrica ni pete na kidole ingawa tofauti yao ni roho mbaya!

Mwarabu ana umimi, vile vile mtu mweusi ana umimi!

Mwarabu anaroho mbaya kuliko watu wote aliowahi kuumba mwenyezi Mungu!

Kuwa rafiki na mwarabu ni lazima ukubali lolote litakalokutokea! Pia uwe ni kama mjinga fulani hivi ili uendane naye, la hutaki... huwezi kuwa rafiki wa Mwarabu
 
Mwarabu hata mmoja haonekani.
 
Huo ndio upuuzi dini ile wanaoamini ndio wa muhimu. Hizi laana zinatugharimu mpaka wenye Mungu na wenye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…