Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

DP misaada yao ni mrengo mmoja tu ?
 
Wameanza kurudisha kwa jamii mapema sana hata nusu mwaka hawajafika. Bandarini kuna hela.
 
Acha ubaguzi Dogo. Mkiendav Arabuni mkaitwa nyani mnatoa povu mwaka mzima! Pumbavu!!
 
Mafuta ya kula,unga wa ngano na hizo taka zingine iweje zifike mil 200?
Uongo huu
 
Naona huyo mama yupo kihenga sana yani hadi amepiga magoti.
 
Hizo zote ni juhudi za Mama!

#Mitatuyamama

Mama anaupiga mwingi!

Cc:Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Yani Samia amegawa bandari zetu ili tupewe tende?
 
Hakuna cha DP World huyo ni Rostam Azizi
Kabisa, mbona hatuoni waarabu hapo? Kitendo Cha mkataba wa DP World kusainiwa na rais wetu, huku hakuna Saini ya mtawala wa Dubai, kinaweka ukweli wazi kuwa hiyo kampuni ni watanzania wenzetu. Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, tutapigwa kimachomacho.
 
Ni utapeli tupu hakuna la maana
 
Siyo Abubakar Chalamila?
 
tatizo makenge hamna shukurani labda aje mzungu awageuze mahanisi ndio mtamsifu.
 
Ila hapo pana Uislamu na uarabu mnamfananisha na mzungu alietengeza minyororo na kufuli na bunduki za kuwasaka watumwa.
Kwa Taarifa tu leo huko majuu nje ya nchi za waarabu Wazungu wanajiunga kwenye dini ya kweli ya Kiislamu na matunda yanaoekana kwenye yuchubu,kama haitoshi wayaudi nao wameanzakuuona dini ya kweli ni ipi,ukishuka kusini mwa afrika kanisa zima limejiunga na dini ya Kiislamu.

Nyinyi bakini na chuki za kuzubaa .waislamu wataingia kutokea Zanzibar kusababisha hali ya usalama huku Tanganyika,ovyooo na yaani yule mmoja alionekana kabisa akiuponda uislamu Kanisani na akiwa amejaa chuki na waarabu. Wakati yeye ni kiongozi na Waziri hapa Tanzania anajaza chuki makanisani .

Bakini hapohapo mkidanganyana Uislamu ni dini ya Waarabu, endeleeni kupendana na warainbow kama hamkutembea kama siafu waliokasirika viuno juu.
 
We ni mjinga tu.Mzungu naye lini alimuona mtu mweusi wa maana.
Misaada unayoipenda ni ile ya yenye vimelea vya ushoga kutoka US au ile wanayokula wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…