Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Daaaah pole sana mwanajeshi na sijui kwanini hakumnyanganya kabisa ile bunduki na kulenga yule pimbi aliyekuwa amebaki kwenye gari nawachukia sana hawa mbwa wa kaki ***** zao narudia tena pole sana mwanajeshi Mungu akufanyie wepesi upone haraka
 
Dah....uzuri wa bongo kila MTU mtaalam...tena wa kila kitu...kuanzia utabibu, ulinzi na usalama, uhandisi nk.....unapopewa silaha tena yenye risasi maana yake ukaitumie.....lakini uamuzi wa kifyatua au kutoifyatua unao mwenyewe uliyeishika silaha....
 
Wote walikosa busara mwanajeshi atakuwa anajilaumu angetii akendelea na hamsini zake,ATM ziko nyingi,mbona maofisi ya watu tunajibiwa shiti kishenzi unapotezea tu.Marehemu nae ukosefu wa busara ukapelekea kifo chake,ukishamuamuru mtu usikae nae zero distance Kwa mtaalamu wa silaha na mwenye nia ovu anaweza akaidata akakudhuru,
 
mengi yameandikwa, sijaona benk ikitajwa. utaratibu wa benk kuweka pesa atm una dosari. wateja wangeelekezwa na benk kuondoka na si police, ambao wa ngazi za chini pr yao ni 0-ve.
Yes, mapungufu yapo benk, sio kila mtu anaelewa kua wakati pesa zinawekwa kwenye mashine za atm haitakiwi kusogea watu, watakaokua wanazijua hizo ishu ni wale wanaohudhuria mara kwa mara benk, mkulima katoka zake shamba huko tangu alivoweka pesa msimu wa mavuno ndo anakuja kuchukua pesa kwaajili ya kilimo atajua nini?? Kwa hio ushauri wangu kwa mabenki watafute njia mbadala ya kuwaelimisha na kuwaelewesha wateja wao pindi wanapokua kwenye hilo zoezi, ama kwa kuweka uzio au njia nyingine, ona uzembe kama huo umeligarimu taifa.
 
Na mkulima hata angekaa miaka saba asingeweza mbishia askari
 
Kwa kweli hawa askari Polisi wetu wa sasa wanawalakini, mimi huwa nashangwazwa sana na ubebaji wao wa silaha....utafkiri wanaingia kwenye combat...kwemye magari pia huzielekeza mbele ama nyuma. Kiufupi ni hatari sana..sasa cjui mitaala ya ubebaji silaha imebadilika ama vipi...
 
Jeshi la mwendo kasi, kwa Akwelina walikosea kulenga. na hapo ATM amekosea kulenga. Napata mashaka na HAYO mafunzo Yao, Pengine ule usemi polisi ni raia wakakamavu una UKWELI. Katika hali ya kawaida unapokwa vipi Silaha wakati upo attention.Marehemu angenusurika angekuwa na kesi ya kujibu. Hizi ni sehemu ya laana ya wananchi na ile damu ya marehemu inawarudia.
 
Kwa hawa jamaa siwezi kusikitika kabisa na tena kama ingewezekana wangelipuana kikosi kwa kikosi
Aisee!
Inavyoonekana kama hauwapendi kabisa Watu hawa
 
Mkuu vipi? Habari ya mwaka 2018 unaileta leo na kuhukumu kuna nini?
Ngoja nichunguze sababu ni nini?
Je, haujaona kwamba ujumbe uliopo kwenye mada hii bado upo relevant hadi leo hii? Hujaona kwamba tatizo lililozungumziwa kwenye suala hili bado lipo kubwa mpaka Sasa?

Hivi ni kweli kwamba wewe binafsi haujui kwamba katika Jamii za waTanzania kwa sasa kuna tatizo kubwa sana la kuwepo kwa chuki na uhasama kati ya raia wa kawaida dhidi ya Askari Polisi? Haujui suala hili kweli?
 
Yote uliyosema ni sawa. Sasa kwanini umeniuliza kama kuni attack kuwa mimi nina chuki na hao watu(binafsi) badala ya kuuliza kwa wingi wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…