final score aggregate itasoma 4-3Mi naangalia tu mkuu. Tukutane mech ikiisha.
final score aggregate itasoma 4-3
hapo tutatoka na 3-1
limebaki gori 1 la kpnd cha 2
57' Anatoka Meddie Kagere nafasi yake anaingia Dilunga upande wa Simba SC
Wakibaki hivi hivi mpaka mwisho wataenda Extra time (30min) au PenaltyKwa hiyo isipofunga tena Simba inatolewa?
Sawa mkuu. Nkana watakuwa wanakuangalieni tufinal score aggregate itasoma 4-3
hapo tutatoka na 3-1
limebaki gori 1 la kpnd cha 2
Sijakuelewa mkuuHuu uzi nimeshabusklaiba
hapana wanakuwa wapo sawa kwa 3-3 so dk zitaongezwa na kwenda 30Kwa hiyo isipofunga tena Simba inatolewa?
kwan mbona tunaongoza ko bado now hawajatuangalia?Sawa mkuu. Nkana watakuwa wanakuangalieni tu