Dar stock Exchange

Dar stock Exchange

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
528
Reaction score
221
Je kwa wanaojua taratibu za Dsi hivi unaweza kununua hisa kwa njia ya mtandao? Au kila kitu bado uwepo in flesh.
 
Acha hizo wewe Tanzania hatujafikia kiwango cha kununua hisa kwenye mtandao. kama unataka biashara hiyo maybe nenda Kenya wanaweza wakawa wanajaribu jaribu lakini sio Tanzania iliyojaa magumash
 
Kumbe haiwezekani.Je process inaendaje kwa. wanaojua?
 
Back
Top Bottom