M Mzee2000 JF-Expert Member Joined Aug 7, 2009 Posts 528 Reaction score 221 Oct 23, 2012 #1 Je kwa wanaojua taratibu za Dsi hivi unaweza kununua hisa kwa njia ya mtandao? Au kila kitu bado uwepo in flesh.
Je kwa wanaojua taratibu za Dsi hivi unaweza kununua hisa kwa njia ya mtandao? Au kila kitu bado uwepo in flesh.
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,357 Oct 23, 2012 #2 Acha hizo wewe Tanzania hatujafikia kiwango cha kununua hisa kwenye mtandao. kama unataka biashara hiyo maybe nenda Kenya wanaweza wakawa wanajaribu jaribu lakini sio Tanzania iliyojaa magumash
Acha hizo wewe Tanzania hatujafikia kiwango cha kununua hisa kwenye mtandao. kama unataka biashara hiyo maybe nenda Kenya wanaweza wakawa wanajaribu jaribu lakini sio Tanzania iliyojaa magumash
M Mzee2000 JF-Expert Member Joined Aug 7, 2009 Posts 528 Reaction score 221 Oct 23, 2012 Thread starter #3 Kumbe haiwezekani.Je process inaendaje kwa. wanaojua?