KERO Dar: Tegeta kwa Ndevu stendi barabara ya kuelekea machinjioni kuna bomba la DAWASA limepasuka hivyo kuhatarisha afya za watu

KERO Dar: Tegeta kwa Ndevu stendi barabara ya kuelekea machinjioni kuna bomba la DAWASA limepasuka hivyo kuhatarisha afya za watu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mtaa wa Tegeta kwa Ndevu stendi barabara ya kuelekea machinjioni kuna bomba la DAWASA limepasuka tangu mwaka jana, bomba hilo linamwaga maji na kuhatarisha afya usalama hewa wa biashara

t 1.jpg
t 2.jpg
t 3.jpg

======

Mrejesho: Dawasa walifika na kutengeneza kwa kuziba mbomba lililopasuka.

Dawasa_DAWASA.jpg
 
Mtafute Mbunge wako Dr Askofu Mkuu Mheshimiwa uwakilishe kero yako kwake na itapatiwa ufumbuzi bila kulia lia
 
Back
Top Bottom