REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
DAR ES SALAAM ni miongoni mwa Majiji katika Bara la Afrika ambayo hutajwa kukua haraka kiuchumi na kuwa kivutio kwa watu wengi ambao hutaka kuutemebelea na kujionea namna mandhari yake ya kupendeza yanavyovutia.
Sasa leo nimetembelea katikati ya Jiji hilo na kufanikiwa kuzinasa picha hizi 10 zinazoonesha mandhari ya baadhi ya mitaa ya Posta.