Msakulu ndio nani jombaaMsakulu, hali ya jioni bana? Naona una uzi brand new acha nikanyage hapa kama jogoo. Kama kawa kama dawa!
Lazima uwe unamfahamu jombaa. Ni jamaa flani hivi, kule vijijini yaani tukio likifanyika inabaki tu yeye ndo anaitwa, asimulie wakuu au maripota wakija, hata kama kila mtu alishuhudia. Huwa ana mvi kiasi afu meno kadhaa huwa hayapo lakini usije ukadhani ni mzee. Huwa akitembea anadunda na anaona yote! Aka eyewitness aka spokesman. Huyo ndo Msakulu, nadhani sasa umemuelewa.Msakulu ndio nani jombaa