Makanda Member Joined Oct 29, 2010 Posts 77 Reaction score 2 Nov 1, 2010 #1 wasimamizi wa jimbo la ubungo walalamika kwenye ITV hawajalipwa posho mtafaruku mkubwa walibebwa kwenye Gari la Taka WaMENGOME MATOKEO MAMBO SI SHWARI.
wasimamizi wa jimbo la ubungo walalamika kwenye ITV hawajalipwa posho mtafaruku mkubwa walibebwa kwenye Gari la Taka WaMENGOME MATOKEO MAMBO SI SHWARI.
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Nov 1, 2010 #2 Na lorri la JWTZ limetumika kubeba maboksi kupeleka pale Loyola, kwa nini magari ya TPDF jamani?