Dar waweza acha Kodi uliyolipia na kuhama baada ya kugundua kuwa eneo Hilo ulilopanga kipindi Cha mvua halikaliki vyura wanaingia Hadi ndani na maji na kuanza kuimba nyimbo zao za kwaya zao usiku huko ndani baada ya kuingia maji ndani au madimbwi kuzunguka nyumba usiku hutalala Kwa nyimbo za kwaya vyura wanazoimba.
Ufumbuzi Dar ukitafuta nyumba ya kupanga tafuta kipindi Cha mvua kubwa imenyesha .Sio kipindi Cha kiangazi hutajia uhalisia wa eneo Hilo mvua kubwa ikinyesha
Ufumbuzi Dar ukitafuta nyumba ya kupanga tafuta kipindi Cha mvua kubwa imenyesha .Sio kipindi Cha kiangazi hutajia uhalisia wa eneo Hilo mvua kubwa ikinyesha