Dar: Vijana wanne wadaiwa kutekwa wakiwa kwenye party Juni 20, 2024, hawajulikani walipo mpaka sasa

Unaenda kumteka mtu ana wake watatu na watoto 23, na wote wanamtegemea, huu ni zaidi ya utekaji, haya ni maangamizi ya jamii.
Hata Kama hana mtoto hata mmoja Wala hajaoa au kuolewa, Kamwe haipaswi hata kidogo mtu yoyote yule kutekwa. Kama mtu amefanya makosa Basi akamatwe na afikishwe kwenye vyombo vya Sheria ili awajibishwe kwa makosa yake, lakini siyo kumteka.
 
Kabendera baada kuandika general kuhusu tawala ya sisiem na matukio tata,sasa hapa uchunguzi wake akungamua kitu? Angeanzia Ulimboka,Shoka hadi Ben
 
Hata Kama hana mtoto hata mmoja Wala hajaoa au kuolewa, Kamwe haipaswi hata kidogo mtu yoyote yule kutekwa. Kama mtu amefanya makosa Basi akamatwe na afikishwe kwenye vyombo vya Sheria ili awajibishwe kwa makosa yake, lakini siyo kumteka.
The two are not mutually exclusive.
 
Hawajulikan walipo mpaka leo. Mtu akikuibia mke au mume watu unaenda mbali sana hata kulala makaburini au kuoga maji ya maiti. Mtoto wako au ndugu yako anatekwa unaacha ipite tu kishkaji, hutaki kijishughulisha kabisa. Inashangaza sana.

Uchawi unaonekana uko kwaajili ya kukomoana maskini kwa maskini, hizi ndiyo sehemu za kutumia sasa.
 
Je Watu
Je, Watu hawa walipatikana au bado hawajapatikana hadi leo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…