Ila ni kweli hapa ujenzi ulianza kwa kasi sana na ile kesi ya kiwanja cha rose garden nayo wakati ule ikawa Hot...lakini sijui ni financial crisiss au kuna sababu nyingine hili eneo sasa hivi kimyaaaaaa,tushaingizwa mjini tena....japo wangetoa tu tamko kama wale wenzao wa kigamboni........
Kwa taarifa za jikoni mwenye kuendesha hiyo project kafulia nadhani mnamfahamu.
alijiwekea lengo akabidhi mwezi wa tano nakama mna kumbukumbu aliweka bango pale kwa mwl J K Nyerere la kupangisha since may BUT mpaka leo mradi umesimama hata mafundi hawapo even some machies ameziondoa.l
mkuu huko sahihi kabisa, tatizo serikali yetu haitaki kusikiliza wataalamu hasa wasomi ndio maana miradi mingi inaratibiwa tu kwa miinajili na matakwa ya wachache na wasio na ufahamu katika masuala husika.Of course kila mtu anajua kuwa kulitokea uhuni wao kupata ile sehemu na nashangaaa kwa nini wasingepewa maeneo kama kule Pugu wakaweza investment kubwa kama ile...wangejenga retail park nzuri na ardhi kubwa lakini wajanja na mafisadi kule serikalini wakaamua kuinyanganya serikali kiwanja na bila aibu viongozi wakuu serikalini washapalekwa pale kama kuendorse hiyo project
Haya tukubali ndio washaiba, mbona hawa jamaa hawamalizi huo ujenzi tujue moja? Maana bila kukuongopea wale wanaojenga/waliojenga kule milimani City naona walichukua ramani za shule na designs za correctional facilities za ulaya wakaenda kuzipeleka pale na lile jumba a cinema kila wakati umeme unakatika...bila kusahau Panya ambao nishawaona pale
who knows maybe Dar Village might bring vibe tofauti mjini lakini sijui waliotoa vibali kujenga pale kama walizingatia traffic kubwa itakayokwenda pale maana sisi pia ni ovyo kwenye hilo la traffic management
Mbona wajenzi hawaonekani?
UJENZI UNAENDELEEEAAAAA
kaka pesa za kumalizia ujenzi bado zinazungushwa kwenye uchaguzi, baada ya uchaguzi ndo litamaliziwa. Lakini hii ni siri usimwambie mtu nimewaonea huruma tu kuwaambia.
pombe zinanena siku hizi lol
pemeni ya rosegarden si mali ya sadock wakuu ama nimekoseaiko karibu na rose garden kaka
Sooo much self hatred, it's amazing!
Labda kwa vile kuna watu humu (akiwemo GT) wanadai kuwa Tanzania ikijiunga na jumuiya ya kiislam itapata misaada kibao na umaskini utakwilia mbali.
Think Big?!!?
Nashauri warudishie TTCL eneo lao basi , hapo hakuna kitu tenaIla ni kweli hapa ujenzi ulianza kwa kasi sana na ile kesi ya kiwanja cha rose garden nayo wakati ule ikawa Hot...lakini sijui ni financial crisiss au kuna sababu nyingine hili eneo sasa hivi kimyaaaaaa,tushaingizwa mjini tena....japo wangetoa tu tamko kama wale wenzao wa kigamboni........
wameeenda kula!Mbona wajenzi hawaonekani?
Zadock anajipanga, ili amalizie project yake, kwa kawaida huwa hakubali kushindwa kwa urahisi.