Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania TAWA Meja Jenerali Hamisi Semfuko akizungumza na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari katika pori la akiba la Pande walipotembelea katika pori hilo ili kuona shughuli mbalimbali za uhifadhi zinazofanywa na TAWA kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi hiyo Jane Mihanji, Kaimu Kamishna wa Uhifadhi TAWA Mabula Misungwi Nyanda na kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF Bw. Deodatus Balile