Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.
Kama mambo yote yameshaelezewa hapa, hiyo press conference ina faida gani sasa.?
 
Duh..........

Wanaccm mshaanza kuusema ukweli!
 
Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?

Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?
Mpango upi huo uliogonga ukuta? Mimi naiona CCM imetulia na inaendelea kutekeleza ilani ya uchaguzi 2020-2025 kwa kasi kubwa huku ikishuhudia upande wa pili wakigomba wenyewe kwa wenyewe.
 
mmelikoroga wenyewe mlinywe...msitake kuingiza wasio husika..eti wamepagiwa kusema yafuatayo!!!
 
Wataenda mahakamani kupinga maamuzi ya kamati kuu
ubaya wa katiba ya chadema ni kuwa ukienda mahakamani ndiyo umejifukuza mwenyewe chamani. bora wakate rufaa kwenye baraza kuu la chadema ndiyo suluhu yao.
 
Wewe endelea kuona giza, utakapofumbua macho utagundua kuwa hilo giza lilikuwa kwako mwenyewe. Amen.
 
Na kesi itachukua miaka mitano huku wakiwa bado ni wabunge Covid-19
Kwa chadema hiyo sio shida walipoamua walijua.muhimu kwao.haramu haiwezi kuzaa halali.
Heshima ya chadema imehifahiwa Kama matakwa ya wapiga kura wao walioibiwa kura yalivyotaka
 
ubaya wa katiba ya chadema ni kuwa ukienda mahakamani ndiyo umejifukuza mwenyewe chamani. bora wakate rufaa kwenye baraza kuu la chadema ndiyo suluhu yao.
Haina ubaya provided ilipitishwa msajili wa vyama.
 
Yes wangekuwa wanatumia akili zao...walitakiwa watulie sema now akili iko mtaa wa pili ngoja tuone

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Haya makoti ya vyama yanawanyima wanasiasa uhuru, kwa nini wasipewe uhuru wa kujiunga au kuanzisha chama muda wowote inapotokea kubanwa sana na wababe wenye vyama vyao, ndo maana hoja ya mgombea binafsi bado ina mashiko sana..
 
Naamini kwa mara ya kwanza press conference hiyo ya covd 19, ya waliokuwa chadema itaonyeshwa live TBC.
 
Wanawake wa shoka.
MDEE, BULAYA, MATIKO....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…