Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.
Iyo namba( 2) ndo sijaielewa....yani yeye ndo aiandae list iende tume badala ya katibu mkuu..majina ambayo hayajathibitishwa na kamati kuu?!!...mamlaka ayo kapewa na nani?!!
Hata hivyo namba 2 na 3 zinakinzana kimantiki.
 

Crown of Patriotism bearers has turned to TRAITORS πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?

Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?
Mmoja wao aliwahi kusema tumekabidhi nchi kwa washamba,angalia wanamwita meko kwa kutumia mapesa na maguvu,akivaa magwanda ya jeshi mwangalie usoni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…