Wagombe wa Chadema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ubungo wametia kambi katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mpaka jioni hii. Hawatatoka hapo mpaka wamejua hatma ya rufaa zao.
Sasa DC si mteule wa mwenyekiti wa Chama Tawala?
Yaani wanachama wa chama pinzani wanamsikilizia mteule wa mwenyekiti wa chama tawala atoe hatma yao?
Huu uatani huu.