DAR: Wanaonunua mali za wizi kutoka kwa PANYA ROAD nao kuanza kusakwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Amos Makalla amesema kuwa Operesheni ya kutokomeza Panya Road ni endelevu na bado inaendelea.

RC Makalla amesema hayo wakati akizungumza kwenye kikao Maalum na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ambapo amewatoa hofu Wananchi kuwa mji uko salama.

"Kwa Panya road wowote wale ambao wanadhani Operesheni hii ni ya nguvu ya soda wamekaa kwenye mashimo wakisikilizia nawaonya waache mipango hiyo hii ni Operesheni kabambe, Polisi wameongezwa, vikundi shirikishi wameongezwa, kwa hiyo wakafanye kazi nyingine," alisema.

Mkuu huyo ambaye ni Mwenyekiti wa Kamanti ya Ulinzi na Usalama Dar es Salaam amewaonya wateja wa vifaa vinavyoibwa na vijana hao kuwa Operesheni nyingine iko mbioni kuwabaini wanunuzi wa vifaa vya wizi.

Amesisitiza kuacha mara moja ununuzi wa bidhaa hizo kwa ajili ya usalama wao.

Awali Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Muliro J Muliro amesema vijana 86 wamefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi ili kusomewa mashtaka yao.

Amesema Operesheni ya kutokomeza vikundi hivyo vya Kihalifu ilifanikisha kupatikana kwa vifaa mbalimbali vilivyoibwa ikiwemo Televisheni.

Alifafanua kuwa Operesheni hiyo bado inaendelea kwa kuhusisha kitengo cha Intelijensia cha Polisi ili kubaini vijana hao ambao wengi ni vijana wadogo kiumri.
 
Safi
 
Kaa mbali kabisa na Mali yoyote ya uwizi.......
Wale wapenda kitonga slope ganda la ndizi mmesikia

Ova
 
Wale wanaonunua vifaa vya magari yaliyokwapuliwa na kuuza maeneo ya Gerezani wameshindikana?,jirani yangu Kruger yake imepigwa imebaki uchi kabisa....
 
Ngoma imehamia tandale huko
Kudhibiti spare imekuwa ngumu kidogo,bado hawajapa ufumbuz kabisa

Ova
 
Yani kama una tabia ya kununua vitu vya wizi jiandea fasta pila linatua mlangoni kwako na kibaka wako[emoji23].
 
b7d858a2d358b12775ab9a3052ff6838.jpg
 
Yani kama una tabia ya kununua vitu vya wizi jiandea fasta pila linatua mlangoni kwako na kibaka wako[emoji23].
Miaka ya nyuma sana nlikuwaga na biashara ya mtu kuweka bondi, mtu anakopa kwa riba nk
Inshort ilikuwa magumashi mwanzo mwisho,kesi kesi za police kama disco tu
Bwana bwana ujanjajanja kuna siku ilitaka ntokea puani
Kna laptop ililetwa bondi kumbe dogo alipiga vitu kwao laptop ya mzee alafu mzee mtu fulani(jina kapuni)
Yaani laptop tukaonekana kama na vitu vingine tulivichkua
Kwanza hilo pira lilokuja watu wakasema hawa hawarudi Hahaha
Yaani mpaka kuja kuweka mambo sawa ili nicost sana
Tangu hapo hata penseli ya uwizi naigopa

Ova
 
Wale wanaonunua vifaa vya magari yaliyokwapuliwa na kuuza maeneo ya Gerezani wameshindikana?,jirani yangu Kruger yake imepigwa imebaki uchi kabisa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Amos Makalla amesema kuwa Operesheni ya kutokomeza Panya Road ni endelevu na bado inaendelea.

RC Makalla amesema hayo wakati akizungumza kwenye kikao Maalum na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ambapo amewatoa hofu Wananchi kuwa mji uko salama.

"Kwa Panya road wowote wale ambao wanadhani Operesheni hii ni ya nguvu ya soda wamekaa kwenye mashimo wakisikilizia nawaonya waache mipango hiyo hii ni Operesheni kabambe, Polisi wameongezwa, vikundi shirikishi wameongezwa, kwa hiyo wakafanye kazi nyingine," alisema.

Mkuu huyo ambaye ni Mwenyekiti wa Kamanti ya Ulinzi na Usalama Dar es Salaam amewaonya wateja wa vifaa vinavyoibwa na vijana hao kuwa Operesheni nyingine iko mbioni kuwabaini wanunuzi wa vifaa vya wizi.

Amesisitiza kuacha mara moja ununuzi wa bidhaa hizo kwa ajili ya usalama wao.

Awali Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Muliro J Muliro amesema vijana 86 wamefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi ili kusomewa mashtaka yao.

Amesema Operesheni ya kutokomeza vikundi hivyo vya Kihalifu ilifanikisha kupatikana kwa vifaa mbalimbali vilivyoibwa ikiwemo Televisheni.

Alifafanua kuwa Operesheni hiyo bado inaendelea kwa kuhusisha kitengo cha Intelijensia cha Polisi ili kubaini vijana hao ambao wengi ni vijana wadogo kiumri.
Waanzie kwa wauza spea za magari
 
Simu wanazibadili vioo au housing then wanajifanya refurbished
 
Ukinunua laptop za wizi itakula kwako. Amini sasa hivi watu wanadakwa kama kumbikumbi. Usiuziwe vitu vya electronics bila kujua vilipotoka, utalia!!
 
Back
Top Bottom