Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Mama ake amefariki mwaka Jana hakuna mwenye uchungu hapo hao ndugu wamepigwa biti kuzuia taharuki ila wasingeropoka km ingekua uongo!!kipo kilichofanyika!
Inasemekana alichukua hati ya nyumba za urithi kwenda kukopea mahala, si unajua nyumba za ilala za familia.
Yule aliyepelekewa hati akawatonya wana familia.
 
hii tabia ya umalaya itawamaliza wengi sana.
badilikeni, acheni tabia ya kuuza miili yenu mtakwisha.
 
Daa! Namuona mmakonde jinsi alivyoing'ang'ania shingo kama luba! Macho yamemtoka pimaa na misuli ya shingo!!!
 
Sawa.

St. Paul ni mji unajulikana, uko Minnesota.

Kwa Bi Kidawa ni wapi?

Tabata Segerea ni wapi ?
 
Barke pesa, Barke bank mara Johnsinner bouncer mara sijui white....haya majina yanaonyesha hawa wote ni binadamu wa hovyohovyo....Barke pesa ukiangalia picha zake makucha, vipini utagundua ni mtu wa mapichamapicha tu..
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji11]so kifo kimereflect maisha yake!
 
Inasemekana alichukua hati ya nyumba za urithi kwenda kukopea mahala, si unajua nyumba za ilala za familia.
Yule aliyepelekewa hati akawatonya wana familia.
Daahh!aseehh!km ni hvyo baasi ndo maana!
Marehemu anaonekana alishajishukuru na life lake!kaah!!alikua mtoto wa mjini sana!
 
Kutoa mtu figo inahitaji utaalam ikiwezekana zaidi ya mmoja wameruhusu vipi chumba zaidi ya watu 2 au ile ingia toka hawakuhisi kitu
Hio guest nayo ichunguzwe
Mtungo kikubwa Bei inapanda Mana mademu wa dar hupanga vyumba kwajili yakupumzika baada yakugongwa Sana lodge/guest and hotel wao hujifanya eti nilikua kazini ,jeshi lapolist linajua wageni wooote walalaji huko niwenyeji wa dar wenyewe
 
Kuna demu walimkataga mguu hivyo hivyo kwanza walimwingilia mtungo

Jamaa maana alihudumia na alimnunulia ki toyo ukicheki ye mwenyewe ni unga unga mwana kwangu pakavu demu hakuridhika sasa huwa ndio kitu kinachofanya niwashangae dada zangu unajijua huna kazi mwanaume anakuwezesha kama hivyo kwa nini usitulie


Siku mbili Kabla ya tukio walichoma toyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka iitwe nini?
 
Na hapo ndio wengi hukosea. Maana hudhani wanaweza kuutumia uzuri huo kuwachezea watu watakavyo bila ya kujua watu hutofautiana kwa tabia na kiwango cha uvumilivu.
Kwani ni kosa mtu kua mzuri???
 
Ulitaka Tabata Segerea iitwe nini?
Hakuna Tabata Segerea duniani

Kuna Tabata na kuna Segerea

Jeshi la polisi ambalo haliwezi hata ku describe geographic sections za mji, ukichanganya na apathetic populace ambayo inaona ni sawa tu, hawawezi kudhibiti uhalifu.

Unamtafutaje mhalifu kama maeneo tu ya mji huyajui ? That is policing 101.
 
Kumbe we ni taahira, kwahiyo na daladala zinazoandikwa Tabata Segerea (T/Segerea) nazo hazipo? Acha kupotezea watu muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…