Dar yakusanya Tsh. Trilioni 13 kati ya 16.5 zilizokusanywa na TRA. Ni aibu kwa Tanzania kutegemea 80% ya Mapato kutoka Mkoa mmoja

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.

Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024.

Mwenda alisema Dar es Salaam ni mkoa wa kipekee kwa kuwa kuna mikoa mitano ya kikodi: Ilala, Temeke, Kinondoni, Tegeta na Kariakoo. “Licha ya kuwa na mikoa mitano ipo Idara ya Forodha na ina mikoa mitatu mikubwa, kuna Kituo cha Huduma Maalumu, Kituo cha Kukusanya Kodi za Mafuta na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambako tunakusanya kodi,” alisema.

Mwenda alisema sababu hizo na nyinginezo ziliwezesha TRA ikusanye Sh trilioni 16.5 kuanzia Julai hadi Desemba mwaka 2024 na kati ya fedha hizo trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Habari Leo

===

MY TAKE

Kitendo cha Nchi kutegemea asilimia 80% ya Mapato Kwa Mkoa mmja wa Dar ni jambo la ajabu na la kushangaza na inaonesha jinsi Nchi Ina uneven distribution of resources. Pia soma Miaka Zaidi ya 60 Baada ya Uhuru,Tanzania Imeshindwa Kuondoa Mizizi ya Ukoloni Kwa Nchi kuwa tegemezi wa Uchumi na Mapato Kwa Jiji Moja tuu la Dar

Hatuwezi kuendelea na utaratibu huu,ni muda muafaka sasa Kwa Serikali kutawanya maendeleo na economic centres kwenye Kila Kanda.

Kwamba Mikoa 25 inakusanya Trilioni 3.5 yaani hata nusu ya Mapato ya Dar hayafiki harafu Walioko kwenye Utawala wanaona sawa Dependency ya hivi Kwa Mkoa mmja Haina Afya kiuchumi na ni hatari sana kiusalama.

Hivi tuna watu wa Mipango kweli? Hivyo Vyuo vyenu vya Planning mnafundisha nini Sasa? Mambo kama haya ndio yanafanya watu waamini mtu mweusi hajatimia kichwani.

Ngoja ije itokee Dar kuwa paralysed siku Moja Kwa tukio.loloye ndipo akili zitawajia maana Mtu mweusi Huwa hajifunzi na hana akili za kesho Hadi apigwe tukio.

View: https://x.com/Samiadiehardfan/status/1891514491059253510?t=HLtmpYRvAiqhqYU1zpRKZw&s=19

Soma hapa zaidi Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023
 
Kwamba jiji likipigwa na moto kama huko marekani kuna kada zitakosa mishahara?
1739182052336.jpeg
 
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.

Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024.

Mwenda alisema Dar es Salaam ni mkoa wa kipekee kwa kuwa kuna mikoa mitano ya kikodi: Ilala, Temeke, Kinondoni, Tegeta na Kariakoo. “Licha ya kuwa na mikoa mitano ipo Idara ya Forodha na ina mikoa mitatu mikubwa, kuna Kituo cha Huduma Maalumu, Kituo cha Kukusanya Kodi za Mafuta na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambako tunakusanya kodi,” alisema.

Mwenda alisema sababu hizo na nyinginezo ziliwezesha TRA ikusanye Sh trilioni 16.5 kuanzia Julai hadi Desemba mwaka 2024 na kati ya fedha hizo trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Habari Leo

===

MY TAKE

Kitendo cha Nchi kutegemea asilimia 80% ya Mapato Kwa Mkoa mmja wa Dar ni jambo la ajabu na la kushangaza na inaonesha jinsi Nchi Ina uneven distribution of resources. Pia soma Miaka Zaidi ya 60 Baada ya Uhuru,Tanzania Imeshindwa Kuondoa Mizizi ya Ukoloni Kwa Nchi kuwa tegemezi wa Uchumi na Mapato Kwa Jiji Moja tuu la Dar

Hatuwezi kuendelea na utaratibu huu,ni muda muafaka sasa Kwa Serikali kutawanya maendeleo na economic centres kwenye Kila Kanda.
hakuna cha ajabu wote ni watanzania wale wale.
 
CCM ni aibu ya ulimwengu. Mikoani ufukara umetamalaki
 
Mkuu hapo tumlaumu nani Chifu?
 
Sio Dodoma tena ?
 
na mapato hayo hayo kiduchu ndio wananunulia ma Yutong na ma V8 ya kutanulia mtaani waala hawawazi kuwa na vyanzo mbadala na kupunguza anasa, My Country Tanzania aliyeturoga atuachie tu tuanze angalau kujitambua.
 
Back
Top Bottom