Mshikaji (Lipumba) tangu mfumo wa vyama vingi anagombea anaishia kupata kura kiduchu. Hachoki? safari hii hata Mrema kapata akili kachomoa kwenye uraisi, kabaki yeye kila uchaguzi anaweka jina na kushindwa!
Hivi, anadhani kuwa atachaguliwa au amesha kiona kijiwe cha kupatia ugali wa kupeleka nyumbani?