Third eye judge
Senior Member
- Aug 9, 2016
- 141
- 124
Ishu ipo kwenye gap lililopo kwa Sasa,, Ikiwa makundi kadhaa yanayo wajibika karibu sawa kwenye jamii, kundi moja linapata malipo ya zaidi ya 13mil na marupurupu lukuki.
Hawa walio chini watajihisi vipi,, Wataiona wapi thamani yao.
Hii haimaanishi kumshusha aliye juu,, bali na hawa walio chini wanathaminiwa vipi Ikiwa hata ongezeko la 150000 limeonekana Ni kitendawili bila kujali muda wanaoutumia katika kuwajibika na ndio engine ya ustawi ? huku wategenezi wao wakiwa Ni wengi na walalahoi wanaotambulishwa kwa jina la wanyonge ? Hili limefumbiwa macho na wengi, nikama maisha wanayoishi watu wa kule chini hayajulikani.
Zaidi ya hapo makato lukuki humuandama zaidi huyu wa chini kwakuwa kinachoingia kwenye account hulazimika kukitoa kwakuwa Ni kidogo, na kinapoingia tena hulazimika kukitoa na hivyo kuumizwa zaidi.