Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kazi yao kushupalia ya +255Kila kitu wanataka kutumia ujanja ujanja. Matokeo yake ndio haya sasa.
Halafu wanajifanya kama hakuna kilichotokea. Wapo kimyaa. Kazi kujisifu tu kila siku. Mpaka uwashtue.Kazi yao kushupalia ya +255
Daraja "flyover" chini ya ujenzi huko Kangemi, Nairobi Kenya limeporomoka mida hii. Watu wanne wameokolewa wakiwa na maumivu makali huku wengine wakihofiwa kufunikwa na kifusi.
Chanzo: kenyans.co.ke
Jamaa amejificha anasubiri alete majigambo tu. Kwa mfano kwenye Global Peace Index 2021 kwa Africa Tanzania ipo top ten lakini hatuna haja ya kujisifu, ingekuwa imetokea kwa hawa nyang'au leo tusingelala.QS NairobiWalker njoo huku utujuze kuhusu BoQ waliotumia. Walitumia kweli ya daraja au ya darasa?
Jamaa amejificha anasubiri alete majigambo tu. Kwa mfano kwenye Global Peace Index 2021 kwa Africa Tanzania ipo top ten lakini hatuna haja ya kujisifu, ingekuwa imetokea kwa hawa nyang'au leo tusingelala.