Daraja E kwenye matokeo ya form 4 ni kuua elimu

Daraja E kwenye matokeo ya form 4 ni kuua elimu

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Habari za leo wakuu.

Hivi hili suala la wizara ya elimu kuweka daraja la E.

Kwenye matokeo ya form 4 ni kuinua au kuua elimu?
 
Lengo ni kutuliza hasira za wananchi, hakna mtu ambae amelalamikia matokeo hayo kwa sabb ya alama za kulazimisha, uktaka kujua watoto hawafaulu siku iz ongea na walimu.

Fanya intervw na mwanafnz aliyepata one 2014 upeo ni kama aliepata four 28 mwaka 2000,siasa zisiinglie elimu jamani,tunazidi kutawaliwa kwa ajili ya tamaa ya wachache wanatuvurugia mfumo.
 
Nauliza kwanza E ni passmark au ndo km F tu ?

Naona hakuna tofauti kati ya E na F kwani hata hao walio na pass mie naona wamefeli tu ,Kwa kuwa pass kwa matokeo ya sasa ni sawa na div. four kwa matokeo ya zamani na hiyo four ilishafutwa.TEAN SIASA AT WORK.
 
Back
Top Bottom