Lengo ni kutuliza hasira za wananchi, hakna mtu ambae amelalamikia matokeo hayo kwa sabb ya alama za kulazimisha, uktaka kujua watoto hawafaulu siku iz ongea na walimu.
Fanya intervw na mwanafnz aliyepata one 2014 upeo ni kama aliepata four 28 mwaka 2000,siasa zisiinglie elimu jamani,tunazidi kutawaliwa kwa ajili ya tamaa ya wachache wanatuvurugia mfumo.
Naona hakuna tofauti kati ya E na F kwani hata hao walio na pass mie naona wamefeli tu ,Kwa kuwa pass kwa matokeo ya sasa ni sawa na div. four kwa matokeo ya zamani na hiyo four ilishafutwa.TEAN SIASA AT WORK.