Komenti hiyo👆👆 iwekwe kwenye Bango kubwa ambalo madereva watasoma wanapoingia hapo.Kindly be advised mwendokasi unaua
Kuna wale wa kujiachia, nadhani ujumbe wameupata...Kindly be advised mwendokasi unaua
Baadoo. Subiri hadi ifike Novemba mwishoooni watajazana hapa.Wale wa kwenda kuhesabiwa kama nawaona vile
anakamilisha miradi ya JPMLimecheleweshwa ili credit ziende kwa huyu tuliye naye.
wazee wa trp kina RRONDO, Mshana Jr , Extrovert Isanga family na wengineoKuna wale wa kujiachia, nadhani ujumbe wameupata...
VipiDARAJA Jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3.8 litaanza kutumika Septemba 30, 2022.
View attachment 2361385