Daraja la Kigamboni limeshajengwa

Tuseme sawa aliyeandaa hii brochure alichanganya kati ya kigamboni na rufiji, sasa kurasini nayo je? amechanganya? sorry lakini kwangu mimi utetezi wako juu ya hawa jamaa ni failure argument! hawa jamaa walifanya makusudi kabisa1
 
Mkuu kwanza nikueleze kwamba sitetei jamaa yeyote. Nimeangalia kosa walilofanya kwa mtazamo tofauti, pia nimesema labda wamechanganya mambo (maelezo).
Inawezekana mtu aliyeendaa hayo maelezo alidhani daraja waliloshiriki na likajengwa hawa jamaa ni Kigamboni badala ya Rufiji.
Sitetei, ila naangalia uwezakano uliopo tu.
Bado nabaki na msimamo wangu kwamba haiwezekani kampuni (mtu) kufanya uongo wa aina hii....huwezi kudanganya (kwa kuweka katika mtandao) kwamba unamiliki jengo la ghorofa 40 Tanzania!
 
Hivi kisheria serikali yetu haina mamlaka ya kuwachukulia hatua hao matapeli?
Ila sitoshangaa nikisikia kuwa kuna mkono wa kigogo wa serikali yetu.

Serikali ipi Mkuu ichukue hatua za kisheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…