Daraja la kigamboni ni kweli litakuwa?

Daraja la kigamboni ni kweli litakuwa?

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
253
Daraja la Kigamboni ni kweli litakuwa? Nimetaka kujua, maana hawa wenzetu wa mama mkubwa, yaani CCM walisema siku nyingi naona sasa MH. Waziri Gaudensia Kabaka analonga. Sasa sijui ni hili?

KIGAMBONI BRIDGE.JPG
 
DARAJA LA KIGAMBONI NI KWELI LITAKUWA?? nimetaka kujua maana hawa wenzetu wa mama mkubwa yaani CCM walisema siku nyingi naona sasa Mh Waziri Gaudensia Kabaka analongaaa..SASA SIJUI NI HILI??
Hizo Trilion tatu si zinatosha kujenga hicho kitu, nchi yetu imjaa wezi tu lakini si kwamba hakuna fedha za maendeleo! Fedha zinaibiwa na kuishia mifukoni mwa watu wachache! Kujikomboa ni kubadili system yote ya uongozi, Katiba mpya basi!
 
I wish kitu kitoke kama hiyo picha! Lakini kwa ufisadi wa viongozi sitashangaa wakabania cement, nondo na hata mchanga ili wakajenge makwao!
 
Nijuavyo ni kuwa saa hili daraja litajengwa tu sasa. hakuna longolongo yoyote sasa.
 
sasa napata wazo, ni kweli ukiangalia porojo zilizozingira mradi huu ushahidi usio na utata ni 10%! Kwa tathmini ya mchoro huu, wangeliweka pale ferry maana nadhani urefu huo sidhani kama kuna meli inayoweza kushindwa kupita chini.
Kwa hiyo mradi unaanza lini (tarehe kamili na sio 'mwaka wa fedha')!
 
likijengwa hilo labda Nyerere afufuke na si kwamba uwezo hakuna la hasha! Matumbo kwanza mengine badae. Chezeah shimbo!
 
Kwa maelezo ya waziri ni kabla ya mwaka kwisha kazi inaanza, sasa sijui wata Idd Simba kabisa?
 
Tuache utani na hitikadi nyingine, namwamini sana Magufuli, he means what he says, so uwezekano ni mkubwa sana, m 100% sure atasimamia!
 
daraja.jpgmkuu usijali daraja lenyewe ni kama hili tuuu!
 
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=34890&amp;stc=1" attachmentid="34890" alt="" id="vbattach_34890" class="previewthumb" />mkuu usijali daraja lenyewe ni kama hili tuuu!
<br />
<br />
hii kali mkuu
 
m.ode
MC, you're the place to be
Oh yeah, oh yeah, oh yeah, oh yeah, oh yeah
Oh yeah, oh yeah, oh yeah, oh yeah

I know that you've been waiting for it
I'm waiting too
In my imagination I'd be all up on you
I know you got that fever for me
Hundred and two
And boy I know I feel the same
My temperature's through the roof

[Chorus:]
If there's a camera up in here
Then it's gonna leave with me
When I do (I do)
If there's a camera up in here
Then I'd best not catch this flick
On YouTube (YouTube)
'Cause if you run your mouth and brag
About this secret rendezvous
I will hunt you down
'Cause they be all up in my bidness
Like a Wendy Interview
But this is private
Between you and I

Touch my body
Put me on the floor
Wrestle me around
Play with me some more
Touch my body
Throw me on the bed
I just wanna make you feel
Like you never did.
Touch my body
Let me wrap my thighs
All around your waist
Just a little taste
Touch my body
Know you love my curves
Come on and give me what I deserve
And touch my body.

Boy you can put me on you
Like a brand new white tee
I'll hug your body tighter
Than my favorite jeans
I want you to caress me
Like a tropical breeze
And float away with you
In the Caribbean Sea

[Chorus]

Touch my body
Put me on the floor
Wrestle me around
Play with me some more
Touch my body
Throw me on the bed
I just wanna make you feel
Like you never did.
Touch my body
Let me wrap my thighs
All around your waist
Just a little taste
Touch my body
Know you love my curves
Come on and give me what I deserve
And touch my body.

I'm gonna treat you like a teddy bear
You won't wanna go nowhere
In the lap of luxury
Baby just turn to me
You won't want for nothing boy
I will give you plenty
Touch my body

Touch my body
Put me on the floor
Wrestle me around
Play with me some more
Touch my body
Throw me on the bed
I just wanna make you feel
Like you never did.
Touch my body
Let me wrap my thighs
All around your waist
Just a little taste
Touch my body
Know you love my curves
Come on and give me what I deserve
And touch my body.

Oh yeah oh yeah oh yeah
Oh yeah oh yeah
Oh oh oh oh yeah
Touch my body...
 
Watu badala ya kwenda kutalii Ikwiriri kuona daraja la Mkapa wafanyavyo sasa, watakuwa na daraja la kuvutia zaidi hapo Dar.
 
Back
Top Bottom