Daraja La Kigongo ~ Busisi

Kituo kinachofuata ni daraja la Samia from ukerewe to kibara bunda
 
HILI DARAJA NITALIFUNGUA KWA mbio za MCHAKAMCHAKA mpaka ng'ambo WALAHI ccm ni makini sana kwa hakika
 
kwa mwendo wa kinyonga
mwendo si haba! Inaenda vile kwa tahadhari maana si mwanzilishi so umakini mkubwa unahitajika ktk kuendeleza kilichoachwa bila mafungu wenzeshi hadi kukamilika kwake
 
Nilishawahi kukaa masaa matatu basibiri Ferry apo Busisi, huu Mradi ni game changer.
Sasa wa ukerewe to bunda wanaweza kukaa masaa 12 bila kuvuka kama mvua zikiwa zinanyesha muda wote huo
 
Kazi nzuri, jambo liende haraka lilete unafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…