KERO Daraja la Mabitini Mwanza limekuwa kikwakwazo Cha kuchelewesha watu katika shughilii zao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
317
Reaction score
400
Swala la follen katika Daraja la Mabitini Mwanza limekuwa kikwakwazo Cha kuchelewesha watu katika shughilii zao mbali mbali maana inachukua masala matatu KUTOKA kisesa, BUSWELU, ilalila , Kishiri kuja kufikia Mjini Mh Rais tunaomba uingilie kati ili swala
 
Mabitini au Mabatini?
Kiseasa au kisesa?

Subiri kwanza hapa umesemaje? 😁 Rais tuombanuingilie
 
Jengeni la kamba...mvuke tu

Ova
 
La Mkuyuni limeisha? Sababu ya usumbufu si inajulikana daraja linajengwa, ulitaka wajengeje
 
Pandisha hii Changamoto ya Ujenzi wa daraja la Mabatini kwenye Social Networks mpaka sasa ni Kero na Magari hayapiti kwa wakati na Nje za Mchepuko Mbovu na Ndogo...Miezi 5 sasa hakuna Mwangaza
 
Mabitini au Mabatini?
Kiseasa au kisesa?

Suburi kwanza hapa umesemaje? Rais tuombanuingilie
Nimejiuliza sana kikwakwazo ni nini? Mara anasema kutoka buswelu mpaka kufika mjini wanatumia masala matatu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…