chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Miaka ya 90 watu kutoka mikoani ilikuwa kivutio kikubwa sana cha wageni kutoka pande zote mkoani kuja kupiga picha.
Ilikuwa rahaa kwa watu wa mkoa wataonekanaje kwamba wapo Dar.
Ila hata wa mjini tumejikuta tukipiga picha kwenye madaraja mapya yanayojengwa mijini, muanzilishi alikuwa daraja la Manzese.