chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Dec 28, 2022 #1 Miaka ya 90 watu kutoka mikoani ilikuwa kivutio kikubwa sana cha wageni kutoka pande zote mkoani kuja kupiga picha. Ilikuwa rahaa kwa watu wa mkoa wataonekanaje kwamba wapo Dar. Ila hata wa mjini tumejikuta tukipiga picha kwenye madaraja mapya yanayojengwa mijini, muanzilishi alikuwa daraja la Manzese.
Miaka ya 90 watu kutoka mikoani ilikuwa kivutio kikubwa sana cha wageni kutoka pande zote mkoani kuja kupiga picha. Ilikuwa rahaa kwa watu wa mkoa wataonekanaje kwamba wapo Dar. Ila hata wa mjini tumejikuta tukipiga picha kwenye madaraja mapya yanayojengwa mijini, muanzilishi alikuwa daraja la Manzese.
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Dec 28, 2022 #2 Chitchat.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Dec 28, 2022 #3 Wasukuma labda